Browse images and videos on Instagram. Find out Most Popular Hashtags and Users.Picgra
  1. Homepage
  2. historia

#historia hashtag

Posts attached with hashtag: #historia

Advertisement

Advertisement

Jair A. Mrtnz (@code931) Instagram Profile Photocode931

Jair A. Mrtnz

ReportShareDownload02

Advertisement

INFO MACHU PICCHU (@infomachupicchu) Instagram Profile Photoinfomachupicchu

INFO MACHU PICCHU

 Instagram Image by INFO MACHU PICCHU (@infomachupicchu) with caption : "En el mercado artesanal de #pisac encontrarás muchas historia plasmada en trabajos manuales, muchos de ellos realizados " at Pisac, Cusco, Peru - 2007124123678966389

En el mercado artesanal de encontrarás muchas historia plasmada en trabajos manuales, muchos de ellos realizados con técnicas ancestrales. Conoce este lugar en el tour del Valle Sagrado de los Incas. Para obtener más información, solicite un presupuesto haciendo clic en 💌ENVIAR MENSAJE con la información: . ✔️E-mail ✔️Número de WhastApp. . 🤓 Uno de nuestros agentes entrará en contacto contigo. #historia @infomachupicchu

ISLAMIC DINU (@islamicdinu) Instagram Profile Photoislamicdinu

ISLAMIC DINU

 image by ISLAMIC DINU (@islamicdinu) with caption : "#Historia Ya Kufunga.
.
Funga, kama ilivyo katika ibada nyingine kama tulivyoona katika kusimamisha Swalah na kutoa zaka" - 2007123751350787668
ReportShareDownload00

#Historia Ya Kufunga. . Funga, kama ilivyo katika ibada nyingine kama tulivyoona katika kusimamisha Swalah na kutoa zakat, imetekelezwa na Mitume wote pamoja na umma zao. . Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) ametukumbusha hili wakati alipotupa amri ya kutekeleza ibada hii maalum, kama tunavyorejea katika Qur-aan: . "Enyi mlioamini! Mmeandikiwa (mmefaradhishiwa) kufunga kama walivyofaridhishiwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu. (2:183). . Katika historia tunajifunza kuwa, kila Mtume alipoondoka, baada ya kipindi kupita, watu waliacha mafundisho yake na kuingia katika ushirikina. . Lakini bado tunakuta funga, japo si katika madhumuni na asili yake iliyoachwa na Mitume wa Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala), imebakia katika jamii za kishirikina kwa kipindi chote cha historia. . Hebu tuangalie mifano michache ya dini za ushirikina ambapo funga, kwa maana ya kushinda na njaa na kiu, imekuwa miongoni mwa ibada muhimu za dini hizo. . 1) Jamii Ya Nabii Ibraahiym. . Nabii Ibraahiym (‘Alayhis Salaam) aliinuliwa katika jamii ya washirikina. . Walikuwa wakiabudu jua, mwezi, nyota na masanamu chungu nzima waliyoyachonga wenyewe. . Pamoja na ushirikina wao huo walikuwa wakifunga siku 30 mfululizo katika kila mwaka kwa heshima ya mwezi. . 2) Wahindu (Hinduism). . Dini ya Kihindu ni miongoni mwa dini za kishirikina katika bara la India. . Katika dini hii funga, ni kitendo kilichosisitizwa sana japo si lazima, katika siku maalum kama vile kupatwa kwa jua, kumbumbuku ya kuzaliwa mwanzilishi wa dini yao na kadhalika. . Funga kwao ni kujizulia na kula na kunywa kuanzia alfajiri mpaka saa tisa mchana. . 3) Mayahudi (Judaism). . Dini ya Kiyahudi ni dini waliyoibuni Mayahudi baada ya Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam) ambapo walimfanya Uzairi mwana wa Mungu. . Pamoja na hivyo wachaji wa Kiyahudi walikuwa wakifunga Alhamisi na Jumatatu kama kumbukumbu ya kwenda na kurudi kwa Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam) katika safari yake ya Sinai kwenda kuchukua Taurati. . Kutokana na kumbukumbu ya historia, Nabii Musa alikwenda kwenye mlima Sinai siku ya Alhamisi na kurejea siku ya Jumatatu baada ya siku arobaini kupita. . next post......

× BOBBY ROCKEA EL MUNDO × (@rockeamundos) Instagram Profile Photorockeamundos

× BOBBY ROCKEA EL MUNDO ×

ReportShareDownload06

Tlaloc Dios de la lluvia. “En tanto que dure el mundo, no acabará, no terminará la gloria, la fama de México-Tenochtitlan” 🇲🇽 #historia